Sama Luxury Coach

Chaguo bora

Nauli zetu.

Luxury Coach

TZS 95,000

Route 1:

Dar es salaam

Mwanza

Route 2:

Mwanza

Dar es salaam

Semi-Luxury Coach

TZS 78,000

Route 1:

Dar es salaam

Mwanza

Route 2:

Mwanza

Dar es salaam

Chaguo bora la wasafiri

Tuna huduma mbalimbali ikiwepo Semi luxury na Luxury na zifuatazo ni huduma zake.

HUDUMA ZA SEMI LUXURY

Safiri kwa faraja na huduma bora kupitia mabasi ya semi-luxury. Tunatoa usafiri wa hali ya juu kwa bei nafuu na usalama wa uhakika!

Inabeba abiria 54

Haina Azam Tv

Unachagua maji au soda

Hakuna chai asubuhi

Huduma ya Wi-fi ipo

Huduma ya choo haipo

HUDUMA ZA LUXURY

Safiri kwa starehe na huduma bora kwa mabasi ya luxury. Tunakuhakikishia usafiri wa kiwango cha juu, salama, na wa kuridhisha!

Inabeba abiria 49

Uwepo wa Azam Tv

Unapewa maji na soda

Kuna uwepo wa chai asubuhi

Huduma ya Wi-fi ipo

Huduma ya choo ipo

NUNUA TIKETI YAKO KUPITIA WHATSAPP

Scan QR Code na camera yako kuweza kupata huduma.

Morogoro

Dodoma

Singida

Dar es salaam

Mwanza

Shinyanga

Huduma kwa wateja

Management

+255 766 808 688

Mwanza

+255 695 880 224

Shekilango

+255 743 729 988

Mbezi Magufuli

+255 742 888 942

Wateja wetu wanasemaje

Scroll to Top